popular

adj 1 -a umma, -a watu ~ government serikali iliyochaguliwa na walio wengi. ~ front n muungano wa kupinga ufashisti n.k. 2 pendwa. ~ novel n riwaya pendwa. 3 inayopendwa be ~ pendwa na wengi make oneself ~ fanya mambo yatakayokufanya upendwe na watu ~ science sayansi ya kufaa watu kwa kadiri ya elimu yao. popularity n. popularly adv. ~ize vt 1 (spread) eneza kwa watu. 2 (simplify) rahisisha, fanya ifae watu wa kawaida. popularization n.