popinjay

n 1 (arch) kasuku. 2 sanamuya kasuku iliyowekwa mtini kwa kulengea. 3 maridadi, mfuauji; mwenye kujinaki.