poor

adj 1 maskini, fukara. the ~ n mafukara, maskini. ~ box n (in church) kisanduku cha maskini. ~ house n nyumba ya maskini (wanao hudumiwa na serikali). ~ law n sheria ya kulinda/kuhudumia maskini. ~ rate n kodi ya kuwakimu maskini. ~relief n msaada kwa maskini. 2 chache a ~ supply of food ugavi wa chakula kichache. 3 -a kustahili huruma /msaada, nyonge a ~ creature maskini, kiumbe ~ me! maskini miye! 4 duni, hafifu. ~ consolation n kitulizo duni. poorly adv vibaya adj -gonjwa feel ~ly -ugua, ona vibaya. ~ly off maskini, -enye fedha kidogo. poorness n ukosefu, upungufu, uduni. ~ -spirited adj -oga; liokata tamaa.