pontiff

n 1 Papa, Baba Mtakatifu. 2 (arch) kuhani mkuu; askofu. pontifical adj 1 -a Papa; -a kuhani mkuu; a askofu. pontificals n mavazirasmi ya maaskofu. 2 -enye makuu. pontificate n ofisi ya Papa; utawala wa Papa vi hubiri.