pollute

vt chafua waste from industries ~ the sea uchafu kutoka viwandani huchafua bahari. pollutant n kichafuzi. pollution n uchafu.