poll
poll
1 n (~ parrot) kasuku.poll
2 n 1 (upigaji) kura, kuhesabu kura. 2 kichwa. ~ tax n kodi ya kichwa. 3 kutafuta maoni ya watu kwa kuwahoji. vt,vi 1 pata kura; piga kura. ~ing booth/station n kituo cha kupigia kura. ~ing day n siku ya kupiga kura. 2 tafuta maoni ya watu kwa kuwahoji. pollster n mtafuta maoni. 3 kata ncha za matawi/pembe n.k..