politics

n siasa racial ~ siasa ya ubaguzi (wa rangi). political adj -a siasa, -a kisiasa political party chama cha siasa. political asylum n hifadhi ya kisiasa. political economy n uchumi/ikitisadi ya kisiasa. political prisoners n wafungwa wa kisiasa ~al offence jinai ya kisiasa. politician n mwanasiasa. politicize vt,vi tia mwako wa kisiasa. politick vi jihusisha na siasa.