police

n polisi military ~ polisi wa jeshi. ~ constable n askari, konstebo. vt 1 simamia (mahali) kwa kutumia polisi ~ the streets zuia uhalifu barabarani. (compounds) ~dog n mbwa wa polisi. ~ force n jeshi la polisi. policeman n polisi, askari polisi. ~ office n ofisi ya polisi. ~- state n (nchi yenye) utawala wa mabavu/udikteta. ~-station n kituo cha polisi. ~-woman n polisi wa kike.