pole

pole

1 n 1 ncha North P~ Ncha ya Kaskazini. poles n pembe za dunia. be ~ s apart -wa mbalimbali kabisa, hitilafiana kabisa. 2 mwisho wa sumaku; pembe ya hatari ya umeme. ~ star n nyota ya kaskazini.

pole

2 n 1 ufito; upondo/boriti;pao; mpiko; (post) nguzo, mhimili, mwimo kiopoo. up the ~ (sl) katika matatizo; kichaa kidogo. 2 kipimo cha urefu (yadi tano na nusu). vt 1 sukuma/endesha kwa upondo. 2 toa, andaa nguzo/mhimili n.k. ~ vault n (mchezo wa) kuruka kwa upondo; upondo wa kurukia.