polar

adj 1 -a ncha za dunia; -a nchi ya baridi sana. ~ lights n nuru ya kaskazini au kusini. (math) ~ coordinates n majiranguzo n ~ front mkabala/mkingamo wa ukanda wa baridi na joto. ~ bear n dubu mweupe aishiye karibu na ncha ya kaskazini. 2 kingamo. polarity n. polarize vt kingamiza. polarization n.