poison

n sumu they hate each other like ~ wanachukiana sana sana die of ~ -fa kwa sumu. ~ gas n gesi ya sumu. ~ pen n mtu aandikaye barua za kashifa zisizo na jina la mwandishi. ~ pen letter n barua za kashifa. 2 maadili mabaya/maovu. vt 1 tia/lisha sumu I have a ~ed hand nina kidonda mkononi. poisoner n msumishaji; muuaji atumiaye sumu. poisonous adj -enye sumu; ovu; fisadi.