poise

vt,vi 1 weka sawasawa (kama mtungi n.k.) kichwani; tuliza sawasawa. ~ oneself on one's toes chuchumia, tengenea; (fig) wa tayari. 2 pembeza, jinega; (weigh) pima; (fig) jisawazisha. 3 (hover) elea angani. 4 ~d in suspense -wa na shaka, sitasita. n 1 mwendo, mkao (k.m. kuinua kichwa, kusimama wima n.k.). 2 mtu mwenye kujiamini a man of ~ mtu makini.