poach

poach

1 vt vukiza yai. ~ed egg n yai la maji.

poach

2 vt,vi 1 ~ (on/for) chukua/winda iso halali. 2 (fig) ingilia kazi ya mwingine ~ on somebody's preserves twaa kazi ya mwingine. poacher n jangili. poaching n ujangili.