plural

adj 1 -ingi. 2 (gram) wingi n wingi. pluralism n 1 wingi. 2 (usu derog) kushika cheo zaidi ya kimoja. 3 (phil) mfumo unaotambua mawazo/ misimamo/dini mbalimbali. plurality n 1 wingi; hesabu/namba zaidi ya moja. 2 kushika vyeo zaidi ya kimoja ~ity offices kuwa na ofisi nyingi. pluralize vi fanya -ingi.