plumb

n 1 timazi, chubwi. out of ~ siwima, tenge. 2 (kwa wima) uzi wa timazi adj 1 sawasawa, kiwima. 2 (sl) kabisa, sawasawa kabisa, halisi adv 1 sawa kabisa. 2 (US colloq) hasa. vt (fig) fikia mizizi/kiini cha jambo. plumb-rule n rula ya bildi.