plot

n 1 (of land) kiwanja. 2 (of story)mtiririko/msuko (wa hadithi). 3 njama. vt,vi 1 (math) chora, tia alama (kwa kuonyesha majira ya mshale n.k. katika ramani n.k.) plotting paper n karatasi ya kuchorea ramani. 2 kula njama. 3 tunga mtiririko (wa hadithi). 4 ~ (out) gawa, weka michoro/alama n.k. plotter n.