plod

vi,vt jikokota (kufanya kazi/ kutembea n.k.) ~ through a textbook soma kitabu kwa taabu. n 1 kazi ngumu. 2 mshindo. plodder n mtu ajikokotaye/mzito lakini mwenye bidii. plodding adj. ploddingly adv.