pledge

n 1 ahadi; dhamana; kiapo under ~ of secrecy katika siri, faragha. take/sign the ~ ahidi kuacha pombe. 2 rehani lying in ~ kuwa katika rehani put in ~ weka rehani take something out of ~ komboa kitu cha rehani. 3 zawadi, ishara; (fig) ~ of love mtoto. 4 kunywa kwa afya/furaha ya. 5 mdhamini. vt 1 weka rehani. 2 apa; apisha; ahidi ~ one's word of honour jifunga kwa kiapo, weka sharti, diriki, ahidi. 3 -nywa kwa afya ya. 4 ~ oneself jidhamini, jiwekea dhamana. ~ oneself for somebody mdhamini mtu.