platinum

n platinamu: madini nzito tena nyeupe ya thamani. ~ blonde n (colloq) mwanamke mwenye nywele nyeupe kama fedha. platitude n maelezo ya kawaida/chapwa. platitudinous adj -lio kawaida.