platform

n 1 jukwaa. 2 ulingo, mahali palipoinuka kando ya njia ya reli n.k. ~ ticket tikiti ya msindikizaji/ kuingilia stesheni. 3 programu (ya chama cha siasa hasa itolewayo kabla ya uchaguzi). ~oratory n uzungumzaji wa kuvutia jukwaani.