plate
n 1 bamba, kipande cha chuma au glasi. ~ glass n kioo cha dirisha. 2 sahani. give somebody something on a ~ (colloq)pa mtu kitu pasi yeye kukishughulikia. on one's ~ -a kushughulisha. have a lot/enough on one's ~ tingwa, -wa na mengi ya kukushughulisha. ~ rack n kichanja cha vyombo. 3 vyombo vya fedha au dhahabu (kama vile vijiko, vikombe, sahani). ~ powder n unga wa kusafishia na kung'arishia fedha. 4 (in printing) pleti, bamba; picha ya kitabuni. 5 kipande cha chuma chenye jina la mtu. dental ~ n menobandia; 6 kombe la dhahabu (kwa ajili ya zawadi ya ushindi). vt 1 chovya vitu vya madini katika madini ya namna nyingine. 2 ~ with funika kwa bamba/chuma. plateful n ujazo wa sahani moja; sahani tele. plate-mark n alama ya mtengenezaji. plater n mchovyaji vyombo kwenye dhahabu, fedha n.k. plating n mpako/mchovyo. gold plating mpako/mchovyo wa dhahabu plating with gold kuchovya dhahabu. platter n 1 (US) kombe. 2 (GB arch) chano. platter n see plate.