plastic

adj 1 (of materials) -a plastiki, -a kinamo, -a kunyumbuka. ~ explosive/ bomb n bomu la plastiki. 2 -a kuumba/ kutengeneza. ~ surgery n utengenezaji upya wa viungo. 3 (fig) -enye kuathirika kwa urahisi n plastiki. plasticity n .