plant

n 1 mmea, mche. ~ louse n chawa (wa) mmea. 2 mtambo, vifaa, mashine (za viwandani). 3 kiwanda, karakana. 4 hila, mtego. 5 askari kanzu anayejiunga na majambazi ili awashike/ajue yao. vt 1 panda, atika, pandikiza, otesha; (fig) ingiza wazo (akilini). 2 weka, kaza, simamisha, piga ~ a blow piga ngumi ~ a bullet piga risasi. 4 anzisha, asisi; lowea. 5 (sl) jifanya/jificha (ili kuhadaa); sakazia/tungia uongo. planter n mkulima mwenye shamba kubwa; mlowezi; mashine ya kupandia. plantation n shamba kubwa, mgunda.