plank

n 1 ubao mnene na mpana. ~ bed n kitanda cha chaga/mbao (bila godoro). 2 kanuni muhimu/ya msingi katika siasa. vt 1 weka/funika kwa mbao. 2 ~ down laza chini; (colloq) lipa mara moja.