1n randa vt piga randa. ~ away/ down sawazisha kwa randa.
plane
2n 1 uso (wa kitu) ulio sawa sawa, ubapa. ~ tablen kipimapembe ubapa on the same ~ as katika usawa mmoja. 2 ubapa mkuu wa kuhimili ndege. 3 (colloq) ndege, eropleni. 4 (fig) hatua, kiwango ~ of development kiasi cha maendeleo. ~ sailingadj (seeplain sailing). vi,vt~ down paa, teremka, tua (bila kutumia injini) adj -enye uso uliosawasawa (usioinuka wala kushuka). ~ geometryn jometri bapa.