plan

n 1 ramani ya jengo. 2 michoro ya mashine. 3 picha, ramani, kielelezo. 4 mpango. (go) according to ~ tokea/-wa kama ilivyopangwa. vt 1 nuia. ~ to do something panga, fanya mipango. 2 chora/tayarisha ramani. 3 ~ (out) panga/fikiria mapema (jambo). ~ned economy n uchumi unaopangwa na kudhibitiwa na dola. planner n mpangaji, mwana mipango. planless adj -sio na mpango.