plain

plain

1 adj 1 (clear) dhahiri, wazi. ~ sailing adj (fig) rahisi na isiyo na matatizo make one's meaning ~ toa maana waziwazi. 2 rahisi, -a kawaida, sio na mapambo/marembo in ~clothes -liovaa mavazi ya kawaida; raia ~ clothes policeman askari kanzu. 3 (of persons, their thoughts, action etc) nyofu, -a kweli. to be ~ with you kwa kusema kweli. in ~ words waziwazi ~ dealing unyofu; uaminifu. ~ spoken adj msema kweli. 4 (of appearance) si zuri, dufu. ~ song/chant n muziki wa sauti nyingi pamoja. plainly adv. ~ ness n.

plain

2 n uwanda, tambarare coastal ~ uwanda wa pwani. plainsman n mkazi wa nyanda tambarare.