plague

n 1 the ~ tauni. ~ spot n kovu la tauni; eneo lililoingiliwa na tauni; kiini/chanzo cha au dalili ya maadili potovu. 2 sababu ya msiba, baa, adha, n.k. vt ~ (with) sumbua, kera (hasa kwa maombi mengi au kwa kuhoji), udhi, taabisha. plaguy adj (colloq) -enye kusumbua/kuudhi. plaguily adv kwa kusumbua, kuudhi; kwa uchokozi.