plagiarize

vt iba maandishi/mawazo/maandiko n.k. ya mtu mwingine (na kuyatumia bila kukiri kuwa ni yake). plagiarism n wizi wa maandishi/ mawazo n.k. ya mtu. plagiarist n mwizi wa maandishi (mawazo).