pity

n 1 huruma. for ~'s sake kwa huruma; jamani! out of ~ kutokana na huruma. take/have ~ on onea huruma, hurumia. 2 jambo la kusikitisha what a ~! inasikitisha, bahati mbaya. vt hurumia; sikitikia I ~ you nakusikitikia. ~ ing adj -enye kuonyesha huruma/masikitiko. pityingly adv. piteous adj -a huzuni, -a kuhuzunisha, -a kutia huruma. piteously adv. pitiable adj 1 -a kusikitisha, -a kutia huruma, -a kuhuzunisha. 2 (wretched) baya; nyonge, hafifu. pitiful adj 1 -a kusikitisha. 2 -a kudharaulika. pitiless adj gumu; -katili, -sio na huruma.