pith
n 1 moyo mwororo (laini) wa bua n.k.; kitu chororo; upande wa ndani wa ganda la chungwa; (of coconut) joya; (of shoot of coco-nut tree) kitale; kilele, shaha; (bio) ubongo; mtima. ~ hat/helmet n kofia ya jua. 2 nguvu; juhudi; wepesi. 3 (fig) kiini, maana. of ~ and moment muhimu sana. pithy adj -a nguvu; -a maana sana.