piston

n pistoni. ~ engined adj -a injini ya pistoni. ~ ring n ringi/pete ya pistoni. ~ rod mkono wa pistoni. pit1 n 1 shimo. 2 (mine) mgodi, machimbo. ~ head n mlango wa mgodi (wa mkaa wa mawe). ~-man n mfanyakazi mgodini. ~ prop n nguzo ya mgodini. 3 mtego wa shimo. ~fall n mtego wa shimo uliofunikwafunikwa; (usu fig) hatari isiyoonekana. 4 mvungu (katika mwili au mmea). the ~ of the stomach sehemu ya chini ya mbavu. 5 kovu ya ndui. 6 (GB) (theatre) viti vya kati sakafuni; watu wakaao hapo. 7 gulio la biashara maalumu wheat-~ gulio la ngano. 8 the ~ n (rhet, biblical) jahanamu. 9 kituo cha huduma za magari (ya mashindano). 10 see cock~. vt 1 be ~ted with -wa na vishimo/makovu ya ndui. 2 ~ against pambanisha.