pipe

n 1 bomba, paipu. 2 zumari, filimbi. 3 (pl) the ~s ; bag ~s n zumari ya Kiskoti. 4 (mlio wa) filimbi; wimbo wa ndege. 5 muluzi wa serahangi. 6 kiko, mtemba. put that in your ~ and smoke it itabidi ukubali upende usipende, kazi kwako. 7 koromeo. 8 (compounds) ~ clay n mfinyanzi mweupe (wa kufinyanga viko); chaki. ~ cleaner n kisafishia kiko. ~ dream n ndoto ya mchana; njozi. ~ laying n kuweka mabomba. be in the ~ line -wa katika maandalizi. ~ line n njia ya bomba. pipeful n ujazo wa kiko, kichanja cha viko. vt 1 piga filimbi/zumari. ~ rack n ubao wa kuhifadhia mitemba. 2 pitisha uowevu/kimiminiko katika bomba. 3 piga king'ora. ~ away toa ishara kuondoka kwa meli. ~ down nyamaza. ~ up anza kuimba/kucheza/kusema. 4 pamba nguo kwa kichuruzio. piper n mpiga zumari. he who plays the ~r calls the tune anayegharamia (kitu) ndiye mwenye madaraka nacho/mwamuzi. pipette n kidodezi, kineli. piping adj 1 -enye sauti ya filimbi. the piping times of peace wakati wa kusikiliza muziki wa burudani. 2 -enye sauti nyembamba (kama makinda ya ndege). pipinghot adj. joto sana; (of news) motomoto n 1 kipande cha bomba. 2 sauti ya upigaji wa zumari. 3 (dom sc) kichuruzio.