pioneer

n 1 mtangulizi; mwasisi; mpelelezi. 2 (mil) payonia: askari wa kikosi tangulizi chenye kutengeneza njia na madaraja n.k. 3 Young P ~s n Chipukizi. vi,vt peleleza; ongoza; tangulia.