pinnacle

n 1 mnara mrefu juu ya paa ya nyumba. 2 (summit) kileleta cha mlima. 3 (culminating point) upeo, kipeo at the ~ of his prosperity katika upeo wa usitawi wake. vt weka mnarani, fanya mnara.