pink
pink
1 n (rangi ya) waridi. 2 (flower) waridi. in the ~ of health zima sana. ~ eye n ugonjwa wa macho adj 1 -a waridi. 2 (colloq) -enye kuelekea mrengo wa kushoto (katika siasa). pinkish adj. pinkness n wekundu mweupe. pinky adj -a waridi.pink
2 vt 1 choma, penyeza, (kwa upanga). 2 ~ (out) pamba/tia nakshi ngozi. ~ing shears n mkasimeno.pink
3 vi (of internal combustion engine) toa sauti ya mlipuko.