pilot

n 1 rubani. drop the ~ achisha kazi mshauri anayeaminika sana. P~ Officer n afisa wa chini katika jeshi la anga. 2 (attrib) -a majaribio a ~ project mradi wa majaribio. 3 (with compounds) ~-balloon puto chunguzi (ambalo hurushwa angani na kuangaliwa linavyokwenda ili kupima nguvu ya upepo na sehemu ambayo upepo unaelekea). pilot-boat n jahazi ongozi. ~-engine n kiberenge. pilot-fish n samaki kiongozi. ~-light/burner n mwenge mdogo. vt ongoza/endesha ndege, meli, treni n.k.