pillow

n 1 mto, takia. take counsel of one's ~ -toamua jambo mpaka siku ya pili. 2 mhimili. vt pumzisha, beba; pumzika. ~-case/slip n foronya. ~-fight n (mchezo wa watoto wa) kupigana kwa kutumia mito.