pile

pile

1 n 1 fungu, chungu, rundo. funeral ~ n chungu ya kuni za kuchomea maiti. 2 (sl) hela nyingi. make one's ~ pata/chuma fedha. 3 jumba kubwa; maghorofa. 4 betri. atomic ~ n kidhibiti atomu. vt,vi 1 lundika, tuta, omekeza, jaza. ~ arms simamisha silaha. ~ it on piga chuku, tia chumvi. ~ on the agony tia chumvi (katika kuelezea machungu). 2 pileup lundikana, ongezeka, kusanyika; (of a crash) gongana mfululizo. 3 ~ into/out of ingia/toka bila mpango.

pile

2 n (post) nguzo, mhimili wa chuma/saruji wa kushikilia daraja. vt wekea nguzo. ~ driver n kishindilia nguzo. ~ dwelling n nyumba iliyosimama juu ya nguzo.

pile

3 n manyoya laini (ya nguo, zulia n.k).