pig

n 1 nguruwe. buy a ~ in a poke nunua kitu bila kukiona au kujua thamani yake. bring one's ~s to the wrong market shindwa katika kufanikisha jambo (k.m. kuuza kitu). ~s might fly maajabu yanaweza kutokea, wapi! ~ headed adj kichwa ngumu; jeuri. ~ headedly adv. ~ headedness n. ~ skin n ngozi ya nguruwe; (sl) shogi. ~ sty n banda la nguruwe. ~ tail n nywele zilizofungwa nyuma na kuning'inia mabegani. ~ wash/swill n chakula cha nguruwe. ~ boat n nyambizi. 2 (colloq) mchafu, mlafi, mwenye tabia mbaya. make a ~ of oneself -la sana, -wa mlafi. 3 ~ iron n mkuo wa chuma. vi ~ it; ~ together ishi pamoja kwenye mazingira machafu. piggish adj (derog of a person) kama nguruwe, -chafu; -lafi. piggishly adv. piggishness n. ~ gery n shamba la nguruwe. piggy n 1 (informal) kiguruwe. 2 (informal) (usu of a child) mlafi; mchoyo. piglet n mtoto wa nguruwe.