picture

n 1 picha; sanamu; mchoro. 2 (fig) taswira; maono. 3 mfano, mithali. be the ~ of health onekana mzima sana he is the ~ of his father anafanana sana na baba yake. 4 masimulizi, maelezo. be/put somebody in the ~ elewa/elewesha. 5 (pl) sinema, filamu. 6 (compounds) ~-book n kitabu cha picha/mapicha. ~-card n mzungu. ~-gallery n makumbusho ya sanaa/ picha. ~-goer n mshabiki wa sinema. ~ hat n kofia ya kike yenye ukingo mpana. ~-palace/theatre n jengo la sinema. vt chora picha; sawiri. ~ something to oneself waza, fikiria. picturesque adj 1 -enye sura nzuri, -a kupendeza macho. 2 (of people, manner, dress etc) -a ajabu ajabu, si -a kawaida. 3 (of language) -enye kusisimua.picturesqueness n. picturesquely adv. pictorial adj -a picha, -enye picha pictorial art sanaa ya picha n gazeti lenye picha.