picket

n 1 kigingi. 2 askari wa doria. 3 watu waliowekwa mlangoni (wakati wa mgomo) ili kushawishi wengine wagome. picketing n. vt,vi 1 pigilia fungu kwa kigingi. 2 wekea walinzi, weka walinzi. 3 shawishi wengine kugoma; zuia. flying ~ n wafanyakazi washawishi (kutoka mahali pengine).