pica

n 1 pika: aina ya herufi katika uchapishaji. 2 ugonjwa wa kula kisichofaa (k.m. udongo).