pi

n pai: herufi ya Kigiriki hasa itumiwapo katika hisabati kuashiria uwiano wa mzingo wa duara na kipenyo chake (3.14159).