physical

adj 1 (natural) -a maumbile;-a viumbe. 2 (corporeal) -a mwili ~ strength nguvu za mwili ~ education elimu ya mazoezi ya viungo ~ examination kukaguliwa afya ~ science sayansi ya vitu visivyo na uhai. 3 (external) -a nje -a sura, -a asili. physically adv kimwili he is ~ly unfit hajiwezi kimwili. physician n tabibu, daktari, mganga.