phrase

n 1 (gram) kirai: fungu la maneno ambalo ni sehemu ya sentensi. 2 msemo. ~-book n kitabu cha misemo. 3 (mus) kifungu cha muziki as he ~d it kama alivyosema. phraseology n uteuzi wa maneno; jinsi ya kutumia maneno. phraseological adj.