photograph

n picha. vt 1 fotoa, piga picha. 2 toka/onekana vizuri katika picha. photographer n mpiga picha. photographic adj -a picha, -a kupiga picha. photography n 1 upigaji picha; sanaa ya kupiga picha. photometer n (phy) fotomita,kipima mwanga, kipimanuru. photo- metric(al) adj (phys) -a kupimia mwanga. photometry n.