phoenix

n finiksi: ndege wa hadithini uarabuni ambaye baada ya kila miaka 500 au 600 alijichoma moto na kufufuka pale pale katika majivu.