pharmacy

n 1 famasia: utayarishaji na utoaji madawa. 2 duka la dawa. pharmaceutic (al) adj -a madawa. pharmacist n mfamasi. pharmacology n taaluma ya madawa. pharmacologist n mtaalamu wa madawa. pharmacopoeia n kitabu cha orodha ya madawa na matumizi yake.