perpetuate

vt dumisha, endeleza. perpetuation n udumishaji, uendelezaji. perpetual adj 1 -a kudumu; -a kuendelea kwa muda mrefu. 2 -a kurudiarudia, -siokoma/ isha. perpetually adv. perpetuity n 1 kuendelea, kudumu. in perpetuity pasipo mwisho, milele. 2 (leg) ndondo mwaka/mali aushi.